Tuesday, October 22, 2013

Hope praise and worship team waanza kupata mialiko

Hatimaye The Hope Praise and worship Team wametoka nje na kwenda kufanya huduma Tegeta juzi jumapili,Ibada hiyo ilifanyika jioni saa kumi ambapo HPWT walialikwa kuongoza kipindi cha sifa nakuabudu

No comments:

Post a Comment